Sunday 19 June 2016

SIMBA SPORTS CLUB: USAJILI WA 4 WAZINDULIWA MSIMBAZI


Simba wamesajili mchezaj, Mohamed Ibrahim, kutoka Mtibwa Suga...Simba wanaimarisha kikosi na Ibrahim ni kifaa cha 4 kuingia Msimbazi...Rais wa Simba SC, Evans Aveva, amesema Ibrahim amesaini mkataba wa miaka 2...Simba walichukua wachezaji 2 kutoka Mwadui FC na 1 kutoka Mtibwa Sugar...Bado wanafukuzia mchezaji Shiza Kichuya kutoka Mtibwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment