Tuesday 21 June 2016

EURO 2016: WALES WAICHAPA RUSSIA 3-0


Wales wameweza kuwa nyamazisha Russia kwa kuwachapa 3-0...Wales walicheza vizuri sana na walitakiwa wawe na mabao mengi zaidi...Ni mara ya 2 Wales wanafuzu mashindano makubwa na ni mara ya kwanza wanacheza mashindano makubwa ya Europe...Bao la kwanza lilitoka kwa Aaron Ramsey mapema dakika ya 11 na kufuatiwa na bao lingine dkika ya 20 kutoka kwa Neil Taylor...Wales walishikilia mpini kipindi chote cha kwanza...Kipindi cha pili hivyo hivyo Wales walikuwa kwenye form nzuri na mnamo dakika ya 67 nyota wa Wales, Gareth Bale, alipachika bao na kumfanya aongoze Euro kwa mabao mengi...Bale amefunga mabao 3 mpaka sasa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment