Friday 24 June 2016

LIVERPOOL: LIVERPOOL WANATAKA KUMALIZA BIASHARA MAPEMA YA KUMCHUKUA SEDIO MANE


Liverpool FC karibu wanamalizia deal ya kumchukua winger Sadio Mane kutoka Southampton kwa dau la Pounds milioni 30...

Mane ni mchezaji anayetokea Senegal.

Wanataka kumaliza biashara hiyo kabla ya msimu wa awali haujaanza July 2.

Southamton watatengeneza pesa nyingi kwenye deal...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment