Thursday 9 June 2016

TENNIS: MARIA SHARAPOVA AFUNGIWA MIAKA 2


Bingwa wa tennis wa zamani, Maria Sharapova, amesimamishwa kujihusisha na tennis kwa miaka 2...Maria Sharapova aligundulika anatumia dawa ambayo imepiigwa marufuku kutokana na dalili za kuongeza nguvu...Sharapova alikuwa anatumia hiyo dawa inayoitwa Meldonium kabla ya mechi bila kutoa taarifa yoyote kwa waandaaji na team yake...Sharapova amesema atapinga uamuzi huu...Kutokana na habari hii Sharapova atapiteza pesa na zawadi zote alizopata Melbourne Australia...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment