Friday 17 June 2016

YANGA: CAF YAWARUHUSU WACHEZAJI WA 4 KUICHEZEA YANGA



TFF imetoa taarifa kwa vyombo vya habari kupitia afisa habari wa TFF, Alfred Lucsa, kuwa TFF imepokea leseni ya wachezaji wanne ambao yanga imewasajili na wanaruhusiwa kuichezea Yanga...Mabingwa wa ligi ya Vodacom kwa mara ya 2 mfululizo, Yanga, wanaimarisha timu na walisajili wachezaji kutoka timu tofauti...Beki Ramadhan Hassan Kessy alichukuliwa kutoka kwa watani wa jadi Simba Sports Club, Midfielder juma Mahadhi kutoka Coastal Union, Beki wa kati Vincent Andrew kutoka Mtibwa Sugar na kipa Beno Kakolanya kutoka Prisons...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment