Thursday 2 June 2016

YANGA: TFF YASOGEZA MBELE UCHAGUZI MPAKA JUNE 25


Kamati ya masuala ya uchaguzi ya TFF imetangaza kuwa uchaguzi wa Yanga utafanyika tarege 25 June na sio tarehe 6 June kama ilivyotangazwa hapo awali...Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mwanasheria Aloyce Komba amesemakamatiyake imeridhika na zoezi la kuchukua na kurudisha forms na wameona nisahihi kusogeza mbele uchaguzi...Kamati imesema mpaka sasa watu 9 wamejitokezakuchukua forms na mmoja nimchezaji Aaron Nyanda...Forms zinapatikana kwa shilingi 200,000kwanafasi 2 za juu kabisa...Kwa nafasi za kamati ni 100,000...Manji na Clement Sanga bado hawajachukua forms lakini inasemekana watatetea nafasi zao...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment