Sunday 19 June 2016

EURO 2016: BELGIUM WAZINDUKA NA KUWACHAPA IRELAND 3-0


Belgium wamefufuka na kucheza mpira mashabiki wao walikuwa wanataka leo baada ya kumwachapa Republic of Ireland 3-0...Ni ushindi wa kwanza wa Belgium...Mabao 2 yalitoka kwa Romelu Lukaku na 1 kutoka kwa Axel Witsel...Hali ni tete kwa Ireland kwani wako chini kabisa ya Group E wakiwa na point 1...


Itabidi wacheze Italy Jumatano ili wazee kupata nafasi nzuri ya kufuzu 16 bora...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment