Sunday 19 June 2016

EURO 2016:RONALDO AKOSA PENALTY KIPINDI CHA 2


Cristiano Ronaldo alikosa penalty muhimu siku ambayo ameweka historia ya kuwa mchezaji aliyecheza mechi nyingi kuliko wote Portugal...Ronaldo amechezaa mechi 128 akiwakilisha Portugal...Amepita rekodi ambayo alikuwa ameishikilia Luis Figo...Mechi iliisha 0-0 na walicheza dhidi ya Austria...Sasa Group F iko wazi kabisa...Kwa upande wa Austria nyota alikuwa kipa Robert Almer ambae alipangua mashuti hatari sana langoni kwake...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment