Tuesday 7 June 2016

KIMBO SLICE: BONDIA MASHUHURI WA MIXED MARTIAL ARTS (MMA) KIMBO SLICE AMEFARIKI DUNIA


Mkali wa ndodi za kupigana mateke au Mixed Martial Arts, Kimbo Slice, amefariki dunia...Kimbo alikuwa na miaka 42...Kimbo Slice alizaliwa Bahamas na badae akahamia Marekani na kuishi Miami...Alivyokuwa Miami alipoteza nyumba yake kwenye kimbunga na akawa anaishi kwenye gari...Baada ya hayo matatizo akaamua kuhangaika kutafuta pesa ndipo akaanza kufanya kazi kama bouncer wa clubs mbalimbali na badae akanzisha ngumi za mtaani na kuziweka mwenye Internet wakati Internet ndio inaanza na baada ya hapo watu wakaanza kumfahamu Kimbo...


Kimbo alifahamika sana kwenye ulimwengu wa Mixed Martial Arts ambako alichelewa kuingia...Pumzika kwa amani Kimbo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment