Monday 20 June 2016

LE MANS 24 HOURS: TOYOTA YAPOKONYWA USHINDI NA PORSCHE MWISHONI KABISA


Timu 2 pinzani zilijikuta haziamoni kilichotokea Le Mans 24 Hours...Mashindano ya magari ya Le Mans ni ya masaa 24 na timu ya Toyota na Porsche ni wapinzani wakubwa sana...Kilichotokea ni kwamba timu ya Toyota gari lao lilisimama ghafla wakati wanaelekea kwenye ushindi na baada ya hapo timu ya Porsche haikamini inawapita Toyota mpaka mwisho wa mstari wa ushindi...Toyoya ilikuwa inaendeshwa na Kazuki Nakajima...




Shindano hilo la masaa 24 lilfanyika katika track ya Circuit de la Sarthe...Timu ya Toyota walibaki wameduwaa kwa takriban dakika 40 kwakitoa macho na kutoamini kilichotokea...Toyota wangeweka historia kwa ushindi wa kwanza Le Mans lakini habari ndiyo hiyo...Porsche ni ushindi wao wa 18...Mara ya mwisho walishinda mwaka 2014...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment