Monday 31 August 2015

MANCHESTER CITY: KEVIN DE BRUYNE NDANI YA CITY


Kevin de Bruyne midfielder wa Wolfsburg alingia Manchester City kwa mkataba wa miaka 6...Bruyne anamiaka 24 na alichukuliwa kwa dau la milioni 55 pounds...Huyu dogo aliwahi kuichezea Chelsea lakini hakukaa sana na baada ya miaka 3 alisepa kutokana na mizengwe ya Mourinho...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday 29 August 2015

EPL: BRANDEN RODGERS AKUBALI KICHAPO


Kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers, amekubali kichapo nakusema Liverpool haikuama toka mwanzo wa mechi...


Liverpool wametoka kucheza na Arsenal hivi karibuni na walitoka sare baada ya kucheza vizuri sana lakini leo West Ham United wamezidi wazee wa the Kop kwa kuwachapa 0-3 ndani ya the Kop...Bofya hapa upate habari zaidi.

2015 WORLD ATHLETICS CHAMPIONSHIP: BOLT AIBEBA TENA JAMAICA KWENYE 4×100


Usain Bolt ameisaidia Jamaica kuchukua medani ya dhahabu kwenye michuano mikali ya dunia ya riadha huko China...Bolt alishinda kwa muda wa 37.36 muda mzuri kabisa na alimpita Justin Gatlin wa timu ya Marekani ambayo ilikataliwa nafasi ya 2 baada ya kukosea kupokezana kijiti...Nasafi ya 2 ilichukuliwa na China na nafasi ya 3 ilienda kwa Canada...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: RATIBA YA MECHI ZA LEO (GMT)

Thursday 27 August 2015

MANCHESTER UNITED: ROONEY AMEANZA KUFUNGA TENA


Wayne Rooney ameisaidia Man U kuingia kwenye makundi ya Champions League baada ya kupata hat-trick dhidi ya Club Brugge...Rooney alikaukiwa magoli kwa muda mrefu amerudi kwenye form sasa...Man U walishinda 0-4...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday 26 August 2015

TFF: MAMELODI SUNDOWNS WAMEALIKWA KUCHEZA TANZANIA


Timu kubwa na mashuhuri ya Afrika ya Kusini Mamelodi Sundowns wamealikwa kuja Tanzania badae mwaka huu kucheza kwenye mashindano ya timu 4...Kocha wa Sundowns Pitso Mosimane aliwaambia Sport24 kwamba ni vizuri timu yake inacheza na timu kubwa kama TP Mazembe ambao pia wamealikwa kuja kucheza nchini Tanzania...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday 23 August 2015

EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
Moving up1Man City389
Moving down2Leicester337
Moving down3Man Utd327
No movement4Crystal Palace326
No movement5Liverpool226
No movement6Swansea325
No movement7Everton314
No movement8Norwich304
Moving up9Chelsea3-24
Moving down10West Ham303
Moving up11Watford303
Moving down12Bournemouth3-13
Moving down13Arsenal2-13
Moving down14Aston Villa3-13
Moving down15Stoke3-12
Moving down16Tottenham3-12
Moving down17Newcastle3-22
No movement18Southampton3-32
Moving up19Sunderland3-41
Moving down20West Brom3-41

F1: LEWIS HAMILTON ASHINDA BELGIAN GP


Lewis Hamilton ameshinda Belgian Grand Prix na kuongeaza points zaidi dhidi ya dereva mwenzake Nico Roseberg...Hamilton alianza wa kwanza kwenye grid na hakuachia hiyo nafasi mpaka mwisho...Hamilton sasa yuko mbele kwa points 28...


Romain Grosjean amemaliza nafasi ya 3 baada ya Sebastian Vettel kupata tatizo la tairi kupasuka ikiwa imebaki laps 2...Bofya hapa upate habari zaiai.

RIADHA: USAIN BOLT AMTOKA GATLIN NA KUSHINDA MBIO ZA MITA 100


Usain Bolt ameonyesha umwamba wake tena ndani ya Beijing huko China baada ya kushinda mbio maarufu sana za mita 100...Bolt aimshinda Justin Gatlin ambae watu wengi walijua ndie atashinda mbio hizo...Gatlin ameshinda michuano 28 mfululizo na leo katokwa na Bolt...Bolt ametumia muda wa dakika 9 na sekunde 78 na pia Andre de Grasse kutoka Canada na Mmarekani Trayvon Bromell walichukua nafasi ya 3...Bofya hapa upate habari zaidi.

CHELSEA: BRAZIL U-20 AINGIA DARAJANI


Chelsea wamemchukua Kenedy ambae alikuwa anachezea timu ya taifa ya Brazil ya chini ya miaka 20...Kenedy mwenye umri wa miaka 19 anacheza nafasi ya forward na ametokea Fluminence...Bofya hapa upate habari zaidi.


Friday 21 August 2015

TAIFA STARS: TIMU YA TAIFA KUINGIA UTURUKI JUMAPILI


Taifa Stars itaondoka Jumapilikwenda Uturuki kujiandaa na michuano ya awali ya kufuzu ya AFCON 2017...Timu haitosimama Muscat na itaenda moja kwa moja Istanbul kuweka kambi ya siku 8...Huko Istanbul watacheza na Libya na Kuwait chini ya kocha Charles Boniface Mkwasa...Taifa Stars wanatarajiwa kukutana na Nigeria Septemba 5...Bofya hapa upatebahari zaidi.

Thursday 20 August 2015

EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Man City266
No movement2Leicester236
No movement3Liverpool226
No movement4Man Utd226
No movement5Everton234
No movement6Swansea224
No movement7Crystal Palace213
No movement8West Ham213
No movement9Norwich203
No movement10Aston Villa203
No movement11Arsenal2-13
No movement12Watford202
No movement13Stoke2-11
No movement14Tottenham2-11
No movement15Newcastle2-21
No movement16Chelsea2-31
No movement17Southampton2-31
No movement18West Brom2-31
No movement19Bournemouth2-20
No movement20Sunderland2-40