Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Saturday, 15 August 2015
SPANISH SUPER CUP: FC BARCELONA YASOMA NAMBA ZA ATLETICO BILBAO
Athletic Bilbao yaishangaza Barcelona baada ya kuwachapa mabao 4-0 jana usiku...Bilbao walikuwa makini na kuipangua beki ya Barca na kuacha kocha wa Barca akitoa macho bila kuongea sana...Aritz Aduriz alipata hat-trick kwenye game hiyo safi ya mzunguko wa kwanza wa Spanish Super Cup...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment