Tuesday 4 August 2015

KAGAME CUP: KOCHA AMPA PENGEZI ZOTE BOSS WA AZAM FC SAID BAKHRESA


Kocha wa Azam FC, Stewart Hall, amefurahi kuchukua kombe kwa mara ya kwanza na kumpa pongezi zote Mwenyekiti wa Kampuni Tanzu za Bakhresa Group of Companies ndugu Said Salim Bakhresa...


Azam FC waliichapa Gor Mahia timu ambayo Uhuru Kenyatta anaipenda sana mabao 2-0 jijini Dar es Salaam...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment