Tuesday 11 August 2015

EPL: YAYA TOURE MESAIDIA MAN CITY KUNYAKUA POINTS 3 ZA MWANZO


Habari ya game ya West Bromwich na Man City ilikuwa ni Yaya Toure na Silva...Yaya kama kawaida yake alicheza vizuri na alipachika bao map email kwa shut kali lililomgonga David Silva na kupita katikati ya miguu ya being Craig Dawson na kuingia golini mapema dakika ya 9...Man City walishinda 0-0...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment