Tuesday 18 August 2015

SPANISH SUPER CUP: BILBAO MABINGWA BAADA YA MIAKA 31




Athletic Bilbao wametwaa ubingwa wa Spanish Super Cup kwa aggragate ya 5-1 baada ya kutoka sare na Barcelona...Bilbao waliwaaibisha Barca mzunguko wa kwanza kwa kuwachapa mabao 4-0 na sasa Bilbao ni mabingwa na wanapata kombe baada ya miaka 31...Gerald Pique alitolewa baada ya kumfuata mwamuzi mshika kibendera na kumgombeza na muda mfupi baada ya hapo Aduriz alisawazisha...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment