Friday 7 August 2015

AZAM FC: KIKWETE AWAPONGEZA AZAM


Rais was Jamhuri ya Muungano Dr. Jakaya Kikwete amewapongeza Azam FC kwa kutwaa ubingwa kwa mara ya kwanza...Kikwete amewataka Azam waendelee kujiimarisha na kushindana na timu za nje na pia amewataka was shinde kombe hili la Kagame mara 3 ili libaki Tanzania...Bofya hapa upate habar zaidi

No comments:

Post a Comment