Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Thursday, 13 August 2015
ARSENAL: WILSHIRE KURUDI MAPEMA
Jack Wilshire anategemewa kurudi baada ya wiki 2 kutokana na kuvunja ankle akiwa mazoezini...Arsene Wenger amesema Wilshire bado anawiki 4 za kuwa fit...Habari nyingine ni Tomas Rosicky atakuwa nje kwa miezi 4 baada ya kufanyiwa upasuaji was got...Bofya hapa upate Habari zaidi. Bofya hapa upate habari kamili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment