Sunday 23 August 2015

RIADHA: USAIN BOLT AMTOKA GATLIN NA KUSHINDA MBIO ZA MITA 100


Usain Bolt ameonyesha umwamba wake tena ndani ya Beijing huko China baada ya kushinda mbio maarufu sana za mita 100...Bolt aimshinda Justin Gatlin ambae watu wengi walijua ndie atashinda mbio hizo...Gatlin ameshinda michuano 28 mfululizo na leo katokwa na Bolt...Bolt ametumia muda wa dakika 9 na sekunde 78 na pia Andre de Grasse kutoka Canada na Mmarekani Trayvon Bromell walichukua nafasi ya 3...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment