Monday 30 November 2015

BEACH VOLLEYBALL: IP SPORTS MABINGWA


iP Sports wameibuka mabingwa wa Beach Volleyball katika michuano mikali iliyoandaliwa na Chama cha Volleyball Dar es Salaam (DAREVA)...iP wamefaniiwa kuwafunga wakongwe wa volleyball na hasa ukizingatia ni timu mpya lakini ina kiu ya ushindi...Katibu wa iP Sports amesema anawashukuru mashabiki kwani ndio waliowasukuma kufanya vizuri...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: MSIMAMO WA LIGI

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Man City141629
No movement2Leicester14829
No movement3Man Utd141028
No movement4Arsenal141227
No movement5Tottenham141325
Moving up6Liverpool14323
Moving down7Crystal Palace14522
No movement8West Ham14422
Moving down9Everton14821
Moving down10Southampton14320
No movement11Watford14-119
No movement12Stoke14-319
No movement13West Brom14-518
Moving up14Chelsea14-615
Moving down15Swansea14-514
No movement16Norwich14-813
No movement17Sunderland14-1012
No movement18Bournemouth14-1310
No movement19Newcastle14-1610
No movement20Aston Villa14-155

EPL: ARSENAL YASHINDWA KUWAFIKIA MAN CITY BAADA YA KUTOKA DRAW NA NORWICH


Arsenal imeshindwa kupata points 3 ambazo zingeinyanyua timu iwe sawa na Manchester City baada ya kutoka sare na Norwich...Arsenal walicheza vizuri sana na kwa akili lakini hawakuwa makini upande wa nyuma hasa kushoto na kufanya Norwich wapate point 1...Arsenal imepata majeruhi ambao ni muhimu sana na itaisumbua club kidogo...


Walioumia ni Laurent Koscielny na Alexis Sanchez...Midfielder Mesut Ozil alijitaidi sana kwenye mechi hiyo na kufanikisha asilimia 98.5 ya pasi zake akiwa pia na 5 shots...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: MATOKEO YA MECHI ZA WEEKEND

SUN 29 NOV 2015 
SAT 28 NOV 2015 

Sunday 29 November 2015

BOXING: TYSON FURY AMTWANGA WLADAMIR KLITSCHKO NA KUCHUKUA BINGWA WA DUNIA



Tyson Fury anayetokea Lancashire Uingereza ndie bingwa wa dunia kwa uzito wa juu baada ya kumchapa kwa points bingwa za zamani Wladmir Klitschko ndani ya ukumbi wa ESPIRIT huko Dusseldorf...


Kwa mara ya kwanza toka mwaka 2011 Uingereza inapata bingwa wa dunia...Klitschko ametamba kwa muda mrefu sana na sasa ulimwengu wa ndondi umepata bingwa mpya amabe amechukua mikanda ya IBF. WBO na WBA Super...


Fury alipata score card ya 115-112. 115-112, 116-111 ingawa hakutumia ngumi nzito alikuwa mwepesi kwenye ring...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday 28 November 2015

NBA: STEPHEN CURRY AJIITA MESSI WA NBA


MVP wa NBA, Stephen Curry, ambae amesaidia timu take ya Golden State Warriors kuvunja rekodi ya kutofungwa na pia kavunja rekodi take mwenyewe ya 3 points amesema yeye Ni Messi wa NBA...Jinsi Messi anavyopiga chenga ni jinsi yeye anavyo fanya mambo kwenye ligi ya basketball ya NBA...Bofya hapa upate jabari zaidi.

Friday 27 November 2015

ITF EAST AFRICA JUNIOR CIRCUIT: MALLYA NDANI YA ROBO FAINALI


Dogo Emmanuel Mallya ameendelea kufanya vizuri baada ya kuingia robo fainali ya michuano ua tennis ya vijana chini ya umri wa miaka 18...Mallya alimchapa Eduardo Molais kutoka Angola seti zote ndani ya jiji la Nairobi...Bofya hapa upate habari zaidi.

MANCHESTER CITY: KUNA TETESI MESSI ATAPEWA OFA YA £800,000 KWA WIKI


Agents wa Lionel Messi inasemekana wako kwenye mazungumzo apewe pounds laki 8 kwa wiki akienda Man City...Habari hizi zimepatikana kwenye gazeti maaarufu la uingereza la The Sun...Kwa mwaka hiyo dili itakuwa milioni 40...Kwa sasa Messi anapata pounds laki 5 kwa wiki...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday 26 November 2015

EUROPA LEAGUE: RATIBA YA MECHI ZA LEO (GMT)

NBA: LEBRON JAMES AMPITA REGGIE MILLER KWA POINTS



LeBron James wa Cleveland Cavaliers amefanikiwa kumpita mkongwe wa basketball Reggie Miller na kuchukua nafasi ya 18 ya mfungaji bora NBA...

NBA: USIKU WA DRAKE WAENDA VIZURI BAADA YA RAPTORS KUSHINDA


Usiku wa mwanamuziki maarufu sana wa miondoko ya Hip-Hop anayetokea Canada, Drake, umeenda vizuri baada ya timu ya Toronto Raptors kushinda game yao dhidi ya Cavaliers 102-99...Usiku wa Drake au 'Drake Night' alihudhuria mama yake mzazi Drake ambae alikaa pembeni yake pembeni tu ya court... 


Pia kilipigwa kibao chake kipya cha 'Hotline Bling' huku akitingisha kichwa na kuweka vidole karibu na maskio...Huwa mara moja kwa mwaka Raptors hufanya usiku wa balozi wa brand na mwaka huu ni Drake tena...Bofya hapa upate habari zaidi. 

NBA: STEPHEN CURRY NA GOLDEN STATE WAMEWEKA REKODI MPYA NBA



Rekodi mpya imewekwa na Golden State Warriors kwa kuwa na ushindi mkubwa bila kufungwa...Golden State waliweka historia hiyo baada ya kuwafunga LA Lakers 111-77 na kuwa timu ambayo imeshinda mechi 16 bila kufungwa...Golden State mwaka huu wamekuwa moto sana na imekuwa timu ambayo inawafunga wenzake kwa wastani wa points 15.6 zaidi...


Stephen Curry amekuwa matata sana akiwa na wenzake ambao wote wamepewa jina la "death lineup" yaani mstari wa kifo ambao ni balaa...Wako wakina Klay Thompson, Harrison Barnes, Iguodala na Draymond Green...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday 25 November 2015

ATHLETICS: MAKAO MAKUU YA RIADHA KENYA YAZINGIRWA NA WANARIADHA



Ofisi kuu ya riadha ya nchini Kenya imezungukwa na wanariadha ilikuzuia maafisa wa kuingia ofisini...Habari kutoka Kenya zinasema wanaridha hao wanataka maafisa kujiuzulu kutokana na kashfa inayowakabili viongozi hao...Pia wamelaumu kuwa viongozi hao wameshindwa kutatua suala la kutumia madawa ya kuongeza nguvu...Wanariadha hao wanataka uongozi uendeshwe na wanariadha wa zamani wanaojua masuala ya riadha...Bofya hapa upate habari zaidi.
 

ATP WORLD TOUR FINALS: DJOKOVIC AMPIKU FEDERER NA KUSHINDA ATP TOUR


Novak Djokovic aendelea kutesa kwenye ulimwengu wa Tennis baada ya kumchapa mkongwe Roger Federer na kuchukua kombe la ATP Tour...Djokovic alishinda 6-3 6-4 na alitumia dakika 80 tu hiyo ni pamoja na kuvunja serve mara 3...Djokovic anamaliza mwaka na title 6 zikiwemo Grand Slam 3...Bofya hapa upate habari zaidi.

CHAMPIONS LEAGUE: BARCELONA YAIRARUA ROMA 6-1


Lionel Messi amefanikiwa kupata mabao mawili baada ya kuwa nje kwa muda...Luis Suarez nae alipachika mabao mawili na kuifanya Barcelona kushinda mabao 6-1 na kushinda group yao...


Wafungaji walikuwa Suarez dakika ya 15, Messi dakika ya 18, Suarez dakika ya 44, Gerard Pique dakika ya 56, Messi dakika ya 61 na Carlo Adriano dakika ya 77...


Kwa upande wa Roma Edin Dzeko alipata bao la kufuta machozi dakika ya 90 +1:03...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday 24 November 2015

REAL MADRID: RAIS WA REAL MADRID AMUUNGA MKONO BENITEZ BAADA YA KICHAPO


Florentino Perez, Rais wa Real Madrid, anamuunga mkono Rafa Benitez baada ya kichapo cha 4-0 kutoka kwa Liverpool...Amesema yeye na bodi wako pamoja na Benitez na kusema kwamba issue sio Benitez issue ni Carlo Ancelotti ambae anaisema vibaya club...Mashabiki walipiga kelele wakitaka rais aondoke baada ya kuchapwa...


Real sasa iko nafasi ya 3 ikipitwa na Barcelona ambao wanaongoza wakiwa points 6 mbele na Atletico wakiwa na points 2 mbele...Perez pia amesema stricker Ronaldo hakusema kwamba wakibaki na huyo kocha hawatashinda...Bofya hapa upate habari zaidi.

BOXING: CANELO ALVAREZ NDIYE HABARI YA DUNIA SASA YUKO TAYARI KWA GENADDY GOLOVKIN



Baada ya kumchapa mkongwe Miguel Cotto na kuchukua mkanda wa World Boxing Counsel kwa daraja la middleweight weekend hii iliyopita sasa Canelo Alvarez super star wa Mexico yuko tayari kumkabili Gennady Golovkin.

Friday 20 November 2015

BOXING: PATA DATA ZA COTTO NA ALVAREZ AMBAO WATAZICHAPA WEEKEND

Cotto

vs.

Alvarez

Miguel Cotto Canelo Alvarez
5'7" 5' 9''


October 29, 1980 July 18, 1990
35 25
Caguas, Puerto Rico Juanacatlan, MX
Caguas, Puerto Rico Guadalajara, MX
Orthodox Orthodox
Won 40 / Lost 4 / Drawn 0 / KO's 33 Won 45 / Lost 1 / Drawn 1 / KO's 32

Chepo Reynoso/Eddie Reynoso
Middleweight Junior Middleweight