Sunday 29 November 2015

BOXING: TYSON FURY AMTWANGA WLADAMIR KLITSCHKO NA KUCHUKUA BINGWA WA DUNIA



Tyson Fury anayetokea Lancashire Uingereza ndie bingwa wa dunia kwa uzito wa juu baada ya kumchapa kwa points bingwa za zamani Wladmir Klitschko ndani ya ukumbi wa ESPIRIT huko Dusseldorf...


Kwa mara ya kwanza toka mwaka 2011 Uingereza inapata bingwa wa dunia...Klitschko ametamba kwa muda mrefu sana na sasa ulimwengu wa ndondi umepata bingwa mpya amabe amechukua mikanda ya IBF. WBO na WBA Super...


Fury alipata score card ya 115-112. 115-112, 116-111 ingawa hakutumia ngumi nzito alikuwa mwepesi kwenye ring...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment