Tuesday 3 November 2015

RUGBY WORLD CUP 2015: SONNY BILL WILLIAMS AGAWA MEDANI YAKE KWA KIJANA



Center wa All Blacks ambae ameshinda medani ya 'World Cup winners medal', Sonny Bill Williams, aligawa medani yake kwa kijana aliyevamia uwanja na kukamatwa na askari...Kijana huyo aliingia uwanjani akimkimbilia Williams ndipo askari mlinda uwanja alipompiga ngwara na Williams akamtetea na kumzuia askari asimchukue na baada ya hapo alimwambia dogo ampeleke kwa wazazi wake na baada ya hapo akamvalisha huyo dogo medani yake...Williams badae alipewa medani nyingine...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment