Monday 16 November 2015

TAIFA STARS: TIMU IMEWASILI SALAMA ALGERIA



Taifa Stars wamewasili salama Algeria...Timu ilishuka kwenye saa 10 na ikawa na safari nyingine ya kwenda mji wa Bilda...Watanzania na wanafunzi wanaoishi Algeria walijitokeza na kuisindikiza timu hiyo toka airport mpaka mji wa Bilda...Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Athumani Kambi, ndio mkuu wa msafara wa jumla ya watu 40...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment