Friday 6 November 2015

CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL YACHAPWA 5 NA BAYERN


Timu ya Bayern haina aibu hata kidogo maana kuifunga Arsenal 5-1 si jambo dogo...Arsenal sasa ina mlima wa kupanda kuingia mtoano wa Champions League...Chelsea nao waliona mwezi lakini bado kibarua cha Jose kiko hatiani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment