Wednesday 11 November 2015

GURU NANAK RALLY: PANDYA KARIBU KUCHUKUA UDEREVA BORA WA MWAKA

 
Pandya akiwa tayari kwa rally (Source: Busagaga's Original blog)

Dharam Pandya anaongoza kwa points 108 akifuatiwa na Randeep Birdi points 90 na hao wote wanatoka Dar es Salaam...Ni mara ya kwanza kwenye historia ya rally madereva wote wanne wanaoongoza rally wanatokea Dar es Salaam...Mara zote madereva wa Arusha ndio wanaoongoza mashindano ya magari...Michuano itahamia Morogoro December kati na Birdi anaweza kumpiku mwenzake lakini sio rahisi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment