Tuesday 17 November 2015

WORLD CUP 2018: YANNICK BOLASIE AISOGEZA CONGO



Mchezaji wa Crystal Palace, Yannick Bolasie, ameipeleka DR Congo mbele baada ya kupachika bao la penalty...DR Congo walisogea mbele kwa aggragate ya 5-4 dhidi ya Burundi...Nchi nyingine zilizosonga na kuingia kweye groups ni Uganda, Zambia na Morocco...Wamewafuata Gabon ambao ndio waliokuwa wa kwanza kuingia kwenye groups...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment