Thursday 26 November 2015

NBA: STEPHEN CURRY NA GOLDEN STATE WAMEWEKA REKODI MPYA NBA



Rekodi mpya imewekwa na Golden State Warriors kwa kuwa na ushindi mkubwa bila kufungwa...Golden State waliweka historia hiyo baada ya kuwafunga LA Lakers 111-77 na kuwa timu ambayo imeshinda mechi 16 bila kufungwa...Golden State mwaka huu wamekuwa moto sana na imekuwa timu ambayo inawafunga wenzake kwa wastani wa points 15.6 zaidi...


Stephen Curry amekuwa matata sana akiwa na wenzake ambao wote wamepewa jina la "death lineup" yaani mstari wa kifo ambao ni balaa...Wako wakina Klay Thompson, Harrison Barnes, Iguodala na Draymond Green...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment