Baada ya kumchapa mkongwe Miguel Cotto na kuchukua mkanda wa World Boxing Counsel kwa daraja la middleweight weekend hii iliyopita sasa Canelo Alvarez super star wa Mexico yuko tayari kumkabili Gennady Golovkin.
Anamikanda ya WBA, IBF na IBO middleweigh...Cotto alichapwa 117-111, 119-109, 118-110 bila ubishi na dogo Alvarez mwenye umri wa miaka 25.
Mandalay Bay ilijaza watu 11,274 wakiwemo watu mashuuhuri sana kwenye ulimwengu wa ndondi na burudani...Bofya hapa upate habari zaidi.
Mandalay Bay ilijaza watu 11,274 wakiwemo watu mashuuhuri sana kwenye ulimwengu wa ndondi na burudani...Bofya hapa upate habari zaidi.
No comments:
Post a Comment