Tuesday 10 November 2015

FIFA U-17: NIGERIA MABINGWA TENA



Timu ya Nigeria ya watoto wa Mwewe (Eaglets)wameshinda fainali dhidi ya Mali na kunyakua kombe kwa mara nyingine...Mali walichapwa 2-0 na dodo Victor Osimhen alipata bao ambalo kwa ujumla ni mabao 10 toka mashindano yaanze...


Nigeria wanapata kombe kwa mara ya 5 sasa toka wachukue kombe kwa mara ya kwanza 1985...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment