Wednesday 25 November 2015

CHAMPIONS LEAGUE: BARCELONA YAIRARUA ROMA 6-1


Lionel Messi amefanikiwa kupata mabao mawili baada ya kuwa nje kwa muda...Luis Suarez nae alipachika mabao mawili na kuifanya Barcelona kushinda mabao 6-1 na kushinda group yao...


Wafungaji walikuwa Suarez dakika ya 15, Messi dakika ya 18, Suarez dakika ya 44, Gerard Pique dakika ya 56, Messi dakika ya 61 na Carlo Adriano dakika ya 77...


Kwa upande wa Roma Edin Dzeko alipata bao la kufuta machozi dakika ya 90 +1:03...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment