Monday 9 November 2015

LA LIGA: REAL MADRID YAFUNGWA KWA MARA YA KWANZA NA SEVILLA


Real Madrid imepata kichapo cha kwanza cha msimu baada ya kuchapwa 3-2 na Sevilla...Barcelona sasa wako points 3 mbele na kabla ya El Clasico tarehe 21 mwezi huu...Bao la kwanza lilitoka kwa Sergio Ramos lakini aliumia akitafuta hilo bao...Sevilla mabao yalitoka kwa Ciro Immobile, Ever Banega na Fernando Llorente...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment