Tuesday 3 November 2015

VODACOM PREMIER LEAGUE: AZAM YAIBURUZA TOTO AFRICANS


Azam FC inaendelea vizuri na mkakati wake wa kuwania ubingwa baada ya kuichapa vibaya sana Toto Africans ndani ya Azam Complex...Azam walishinda 5-0 dhidi ya Toto Africans na kuipiku Yanga kileleni...Yanga walikuwa kileleni baada ya kuwachapa Kagera Sugar 2-0...Wachezaji Didier Kavumbagu na beki wa kulia Shomari Kapombe bila kumsahau KipreTchetche ndio walikuwa vinara...Azam sasa wana points 25...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment