Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Friday, 13 November 2015
WORLD CUP: GAME YA ARGENTINA NA BRAZIL YASIMAMISHWA
Mechi ya wakongwe Argentina na Brazil ilisimamishwa kutokana na mvua kali zilizonyesha Buenos Aires...Mechi ilisimamishwa saa 1 kabla mechi haijaanza na kufanya mashabiki wa kwame wakishindwa kwenda nyumbani...
Mechi hiyo ya kufuzu World Cup itachezwa leo saa 9 usiku...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment