Thursday 26 November 2015

NBA: USIKU WA DRAKE WAENDA VIZURI BAADA YA RAPTORS KUSHINDA


Usiku wa mwanamuziki maarufu sana wa miondoko ya Hip-Hop anayetokea Canada, Drake, umeenda vizuri baada ya timu ya Toronto Raptors kushinda game yao dhidi ya Cavaliers 102-99...Usiku wa Drake au 'Drake Night' alihudhuria mama yake mzazi Drake ambae alikaa pembeni yake pembeni tu ya court... 


Pia kilipigwa kibao chake kipya cha 'Hotline Bling' huku akitingisha kichwa na kuweka vidole karibu na maskio...Huwa mara moja kwa mwaka Raptors hufanya usiku wa balozi wa brand na mwaka huu ni Drake tena...Bofya hapa upate habari zaidi. 

No comments:

Post a Comment