Monday 9 November 2015

AFRICAN CHANPIONS LEAGUE: TOUT PUISSANT MAZEMBE MABINGWA WA AFRICA KWA MARA YA 5



Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu na timu yao ya TP Mazembe wametwaa ubingwa wa Champions League baada ya kuwachapa USM Alger ya Algeria 2-0...Mabao yalitoka kwa Tanzanian International Mbwana Samatta na Ivorian International Roger Assale...Baada ya Zenadine Ferhat kumfanyia ndivyo sivyo Roger Assale dakika ya 75 Mbwana Samatta alipachika penalty safi kabisa...


Samatta kwa ujumla alifanikiwa kupata mabao 7 katika michuano hiyo mikali sana...Hongereni TP Mazembe...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment