Showing posts with label Thomas Ulimwengu. Show all posts
Showing posts with label Thomas Ulimwengu. Show all posts

Monday, 14 December 2015

FIFA CLUB WORLD CUP 2015: TP MAZEMBE YATOLEWA ROBO FAINALI



TP Mazembe, Mabingwa wa Afrika, wametolewa nje ya michuano ya Fifa Club World Cup na Sanfreccce Hiroshima huko Osaka Japan...Mazembe walichapwa 3-0 ingawa walicheza vizuri sana na kuwakabili vyema wajepu lakini walikosa nguvu ya ziada ya kufunga...Mazembe kupitia Mbwana Samatta aliwatoka mabeki na kujaribu kufunga lakini alipunguza spidi na hatimaye mpira kuchukuliwa...Sub Thomas Umimwengu nae aliwakosakosa wajepu baada ya kupiga mkwaju wa chini chini lakini haukuzaa matunda...Bofya hapa ypate habari zaidi.

Tuesday, 17 November 2015

TAIFA STARS: ULIMWENGU AUMIA ZOEZINI



Thomas Ulimwengu ameumia goti akiwa zoezini na bado haijulikani kama atacheza mechi ya leo...Bado madaktari wanaendelea kuangalia maendeleo ya goti kabla ya mechi ambayo lazima tushinde ili tusonge mbele...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 9 November 2015

AFRICAN CHANPIONS LEAGUE: TOUT PUISSANT MAZEMBE MABINGWA WA AFRICA KWA MARA YA 5



Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu na timu yao ya TP Mazembe wametwaa ubingwa wa Champions League baada ya kuwachapa USM Alger ya Algeria 2-0...Mabao yalitoka kwa Tanzanian International Mbwana Samatta na Ivorian International Roger Assale...Baada ya Zenadine Ferhat kumfanyia ndivyo sivyo Roger Assale dakika ya 75 Mbwana Samatta alipachika penalty safi kabisa...


Samatta kwa ujumla alifanikiwa kupata mabao 7 katika michuano hiyo mikali sana...Hongereni TP Mazembe...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 24 November 2013