Monday 14 December 2015

FIFA CLUB WORLD CUP 2015: TP MAZEMBE YATOLEWA ROBO FAINALI



TP Mazembe, Mabingwa wa Afrika, wametolewa nje ya michuano ya Fifa Club World Cup na Sanfreccce Hiroshima huko Osaka Japan...Mazembe walichapwa 3-0 ingawa walicheza vizuri sana na kuwakabili vyema wajepu lakini walikosa nguvu ya ziada ya kufunga...Mazembe kupitia Mbwana Samatta aliwatoka mabeki na kujaribu kufunga lakini alipunguza spidi na hatimaye mpira kuchukuliwa...Sub Thomas Umimwengu nae aliwakosakosa wajepu baada ya kupiga mkwaju wa chini chini lakini haukuzaa matunda...Bofya hapa ypate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment