Monday 7 December 2015

ARSENAL: SANTI CARZOLA NJE MIEZI 4



Arsenal wamepigwa na pigo baada ya kumkosa Santi Carzola kwa miezi 4...Carzola alifanyiwa upasuaji wa goti baada ya kuumia katika game ya Arsenal na Norwich...Baada ya kuumia Carzola alicheki na daktari wake, Dr. Ramon Cugat, wa Spain akaamua kufanya operation ili apone haraka bila kusubiri tiba mbadala...Alexis Sanchez pia aliumia hamstring katika mechi hiyo na Arsene Wenger alimruhusu akaugulie nyumbani Chile...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment