Friday 11 December 2015

U23 CUP OF NATIONS: NIGERIA NA ALGERIA NDANI YA RIO OLYMPICS



Nigeria U-23 wamefanikiwa kufuzu Olympics za Rio de Janeiro mwakani baada ya kuifunga kwa shida Senegal 1-0...Captain Peter Etebo ndiye aliyefunga bao hilo pekee kupitia mkwaju wa penalty...Algeria waliwachapa South Africa 2-0 na wafungaji walikuwa Oussama Darfalou na Mohamed Benkhemassa...Nafasi za kwenda Rio ni 3 kwahiyo imebaki nafasi 1 tu ambayo itagombaniwa na South Africa na Senegal...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment