Thursday 3 December 2015

NBA: GOLDEN STATE WARRIORS WAFIKIA 20-0


Golden State Warriors waendelea kuishangaza dunia ya basketball duniani kwa kuendelea kuweka rekodi...Warriors sasa wako 20-0 baada ya kuwachapa Charlotte Hornets 116-99...


Stephen Curry aliipachika 40 points...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment