Monday 7 December 2015

EPL: KOMBE LA BARCLAYS NDANI YA BONGO


Kombe kubwa na maarufu la Barclays Premier League liko ndani ya bongo...Wadau wengi wa Max Sports walijitokeza kupiga "ekotite" na kombe hilo ambalo linapiga ziara bongo...Mdau mkubwa wa Liverpool na Max Sports  Alex Galinoma nae alijitokeza kupata photo ya mwaka na kombe hilo maarufu...



Mdau mkubwa wa Chelsea nchini kaka Makulilo nae hakuwa mbali na kombe hilo ya Barclays...Kaka alikuwa na furaha kiasi cha kusahau matatizo ya timu yake...Kombe limeleta furaha kwa wadau na wapenzi wa soka nchini...

No comments:

Post a Comment