Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Barclays. Show all posts
Showing posts with label Barclays. Show all posts
Thursday, 4 May 2023
Monday, 11 April 2016
LEICESTER CITY FC: CLAUDIO RANIERI KOCHA WA MWEZI BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Claudio Ranieri amekuwa kocha bora wa mwezi Barclays Premiership baada ya timu yake kufanya vizuri sana na pia haikufungwa mwezi March...Ni mara ya 2 msimu huu Ranieri anachukua tuzo hiyo ya kocha wa Mwezi...Mpaka sasa Leicester au kwa jina maarufu 'The Foxes' wamepoteza mechi 3 tu...Leicester sasa wako points 10 mbele ya Tottenham na wakishinda mechi 2 tu wanatangazwa mabingwa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 7 December 2015
EPL: KOMBE LA BARCLAYS NDANI YA BONGO
Kombe kubwa na maarufu la Barclays Premier League liko ndani ya bongo...Wadau wengi wa Max Sports walijitokeza kupiga "ekotite" na kombe hilo ambalo linapiga ziara bongo...Mdau mkubwa wa Liverpool na Max Sports Alex Galinoma nae alijitokeza kupata photo ya mwaka na kombe hilo maarufu...
Mdau mkubwa wa Chelsea nchini kaka Makulilo nae hakuwa mbali na kombe hilo ya Barclays...Kaka alikuwa na furaha kiasi cha kusahau matatizo ya timu yake...Kombe limeleta furaha kwa wadau na wapenzi wa soka nchini...
Subscribe to:
Posts (Atom)



