Tuesday 8 December 2015

MLB: RED SOX KUTOA DOLA MILIONI 217 KUMCHUKUA DAVID PRICE


Boston Red Sox wamemchukua pitcher David Price kwa dola milioni 217 kwa muda wa miaka 7...David ni free agent na ni kati ya pitchers wakali sana kwenye ligi ya baseball...


Price ametokea Totonto Blue Jays...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment