Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Saturday, 5 December 2015
EPL: CHELSEA HOI KWA BOURNEMOUTH
Chelsea mambo yao yanaenda kombo msimu huu na leo wametoka kuchapwa na timu ndogo na mpya Premier League ya Bournemouth...Chelsea wamechapwa 1-0 nyumbani kuingia Glenn Murray dalika ya 82...Chelsea sasa wako nafasi ya 14 na points 14 nje ya nafasi ya Champions League...Hali sio nzuri kwa Chelsea kwani wako points 3 kutoka relegation stage...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment