Tuesday 15 December 2015

CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL KUKUTANA NA BARCA



Arsenal imejikuta katika mtihani mgumu baada ya kuchaguliwa kucheza na Barcelona katika 16 bora wa mwisho...Chelsea kwa mara ya 3 mfululizo wanajikuta na Paris St-Germain...Manchester City watachexa na Dinamo Kiev...Roma wako na Real Madrid wakati Juve watacheza na Bayern Munich...



Mechi za mzunguko wa kwanza zitachezwa kuanzia tarehe 16-17 na 24-25 February...Mzunguko wa 2 utakuwa tarehe 8-9 na 15-16 March...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment