Saturday 5 December 2015

CECAFA CUP 2015: UGANGA MABINGWA WA CHALLENGE CUP


Uganda ni mabingwa wa Cecafa Cup 2015...Wamenyakua ubingwa baada ya kuwachapa Rwanda 1-0 ndani ya jiji la Addis Ababa...Uganda wanachukua kome kwa mara ya 14...Okhuti ndo aliyetingisha nyavu dalike ya 15 na kuipa ushindig Ugandalf Cranes...Uganda ni timu pekee ya Afrika Mashariki kufuzu kuingia kwenye makundi ya World Cup 2018 qualifying...Hongera sana Uganda kwa ushindi mkubwa...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment