Wednesday 16 December 2015

SAMUEL ETO'O: APEWA NAFASI YA UKOCHA


Samuel Eto'o amepewa nafasi ya kufundisha Antalyaspor...Eto'o mwenye umri wa miaka 34 aliingia hapo kwa mkataba wa miaka 3 June iliyopita amepewa nafasi ya kuonyesha umwamba wake katika soka kwa kuwa kocha mchezaji kwa mechi 3...Anachukua ukocha kutoka kwa Yusuf Simsek ambae alitimuliwa December 7...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment