Thursday 17 December 2015

BOXING: HERI YA SIKU YA KUZALIWA PAC-MAN


Heri ya kuzaliwa Manny Pacquiao...


Manny ambae ni bingwa wa ndondi duniani na pia ni kocha wa timu ya basketball ya Mahindra Enforcers pamoja na kuwa mbunge alizaliwa Kibawe, Bukidnon, Philippines na ni wa nne kati ya watoto 6.

Mama na Baba waliachana akiwa darasa la 6 baada ya Mama yake kugungua mzee anaishi na nyumba ndogo...Bofya hapa upate habari zaidi za Pac-Man.

No comments:

Post a Comment