Thursday 10 December 2015

NBA: STEPHEN CURRY ALALAMIKA HUKU WAKIENDELEA KUVUNJA REKODI



Stephen Curry pamoja na kupaya points 29 na rebound 10 alilalamika eti hakucheza vizuri...Golden State Warriors sasa wako 23-0 na inaonekana bado wako moto...Indiana Pacers walichapwa 131-123...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment