Monday 7 December 2015

FIFA WORLD CUP: DAVID BECKHAM ATETEA QATAR 2022


Mchezaji maarufu na star wa zamani wa Manchester United, David Beckham, amesema Qatar 2022 iendelee hata kama kuna issue za rushwa...Beckham amesema nchi ambazo hazijawahi kupata fursa ya kuchezesha World Cup zipewe kipaumbele...Qatar na urusi hivi karibuni zimekuwa kwenye vyombo vya habari sana kutokana na issue za rushwa na pia wako hatiani kunyang'anywa uwenyeji wa World Cup...Wote urusi na Qatar wamekanusha kujihusisha na rushwa kwenye kuchagua nchi gani iwe mwenyeji...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment