Friday 4 December 2015

FIFA CLUB WORLD CUP: STAR-TIMES KURUSHA LIVE MICHUANO YA CLUB WORLD CUP


Kampuni ya TV ya Star-Times imeshinda rights za kurusha michuano mikubwa ya Fifa Club World Cup ambayo yataanza tarehe 10 December...Club World Cup ni michuano inayohusisha club ambazo zilishinda kwenye confederation mbali mbali duniani...Confederation na timu hizo ni AFC Champions League (Guangzhou Evergrande Taobao ya China), CAF Champions League (TP Mazembe ya DR Congo), CONCACAF Champions League (Club America ya Mexico), CONMEBOL Copa Libertadores (River Plate ya Argentina), OFC Champions League (Auckland City FC ya New Zealand), UEFA Champions League (FC Barcelona ya Spain) na wenyeji washindi wa Japan League 2015...Pamoja na kurusha Club World Cup watarusha Italian Cup...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment